Ngoni media radio-Dodoma-Mahubir,masomo,matangazo na muzikiNgoni media radio-Dodoma-Mahubiri, masomo, matangazo na muziki. Ngoni Media Radio ni redio ya mtandaoni kutoka Dodoma, Tanzania inayokuletea Neno la Mungu, mahubiri ya kuujenga, mafundisho ya Biblia, matangazo ya jamii, habari na muziki wa Injili na wa kizazi kipya masaa 24 kwa siku siku 7 kwa wiki. Lengo letu ni kukuhabarisha, kukuelimisha na kukuburudisha popote ulipo duniani kupitia simu yako.